Duration 11:56

Vifo vya Kinyama na wizi wa watoto Uvira ni Warundi ndo Chanzo, Watoto wame tekwa atujuwi walipo

85 015 watched
0
275
Published 6 Jul 2021

#SUBSCRIBE #MY #CHANNEL

Category

Show more

Comments - 66
  • @
    @amismuhitira5073 years ago Sioo kilaa warundii ni wa alifuu ataa burundii wako wakongoo wanakujaga kufanya ualiifuu. 1
  • @
    @AMI-ip1lx3 years ago Mukome kwa jina la mungu tena mukome burundi msiizoweye. 2
  • @
    @hanifatanzania72583 years ago Subuhanallah inalillahi wainailahi rajuun. Allah awape subra wafiwa wote na uvila zima lnshallah.
  • @
    @salamanauthartanzania63013 years ago Hata kwetu tazania jamani roho zetu hazina amani kabisa. 2
  • @
    @gaudensiayustini86693 years ago Poleni saana na tanzania wana hamia amani hakuna.
  • @
    @gloriasifa73223 years ago Bjr ba toto ya uvira mutu oneshe ule bandia wa goma sisi raiya wa goma.
  • @
    @zuberinyenzi19823 years ago Lengo ni nini hasa ya yote hayo dah! Hii dunia hii.
  • @
    @lelasalum5553 years ago Jaman jamn muogopen mola mwenyez mung kwan yey ndie alotuumba na kwake tutarejee mbona binadam hatufikirii wala hatuelew hii dunia tutaiacha tu na tutakwenda . ...Expand
  • @
    @xdseww2623 years ago Wallah nimtihani yani watu hawanaga tena uoga. Wakufanya mauwaji. 3
  • @
    @yuonneumurundi81193 years ago Muache kutafuta chuki bana eti nini? Warundi? Kheee.
  • @
    @dobhstess77213 years ago Mbn mmbo yamekua ayo muongopeni mng cz akuna ambae atakfa ww unae mua mwenzako ata ww utakufa tu xku mmjo.
  • @
    @hamidaalhabsi85683 years ago Subhanaallah mungu wangu kuna watu makatili duniani watoto wamewafanya nini. 1
  • @
    @user-to5sx9tw6i5 months ago Laana wewe inabidi nanyi mchunguzwe mnapewa pesa na watusi ili mseme yakwama ni warundi
    huku mnasahau yakwamba
    aduwi ya mcongo ni mnyarwanda hata wewe uchunguzwe haraka
    saana nyuma yako na mbele yako
    wapo wanyamulenge
    .
    ...Expand
  • @
    @monicasimpilu62573 years ago Jamani tumuogope mungu. Rest in peace jpm. Yote haya yalitia mwe. 2
  • @
    @mugemainyas52413 years ago Kiswahili kimechanganywa na kifaransa. Na matokeo yake sielewi sana. Hata hivo pole. 1
  • @
    @ornellanabintu44273 years ago En tout cas mujichunge batu ba uvira barundi njobamwizi baba toto ababako banabana uku lubumbashi na kinshasa niba burundais mujichunge kabisa lalala.
  • @
    @user-ki6nw6ve7p3 years ago Y' allah tupuguzie mateso n' a hadhabu zaapa duniani. 1
  • @
    @AMI-ip1lx3 years ago Eti burundi mnajuwa burundi tuna roho mbaya kama wa congo mtuache na burundi yetu tena mukome kw jina la mungu mtakuwa mnamapepo kuchafua inchi ya burundi.
  • @
    @abdallahsuleimani74163 years ago Nyinyi warundi ni wacongomani kitu kimoja msigombanishwe kuweni makini rasilimali zenu kumbukeni wazungu wanazitamani ndio maana hawataki vita ishe muuendelee kuuwana wabebe kiwepesi ammkeni wafrica! Viva africaa. 1
  • @
    @stymewert76813 years ago Sasa awo warundi wenye mulirudisha burundi munawushahidi kama niwarundi njo wanawuwa
    sasa kama muliwarudisha burundi
    ivi burundi nayenyewe . ...Expand
  • @
    @lelasalum5553 years ago Jaman jamn muogopen mola mwenyez mung kwan yey ndie alotuumba na kwake tutarejee mbona binadam hatufikirii wala hatuelew hii dunia tutaiacha tu na tutakwenda . ...Expand
  • @
    @user-to5sx9tw6i5 months ago Laana wewe inabidi nanyi mchunguzwe mnapewa pesa na watusi ili mseme yakwama ni warundi
    huku mnasahau yakwamba
    aduwi ya mcongo ni mnyarwanda hata wewe uchunguzwe haraka
    saana nyuma yako na mbele yako
    wapo wanyamulenge
    .
    ...Expand
  • @
    @stymewert76813 years ago Sasa awo warundi wenye mulirudisha burundi munawushahidi kama niwarundi njo wanawuwa
    sasa kama muliwarudisha burundi
    ivi burundi nayenyewe . ...Expand