Duration 30:14

JWTZ na JESHI la MAREKANI Baada ya MAFUNZO ya PAMOJA ya KUKABILIANA na UHALIFU, WAFANYA HAFLA..

12 260 watched
0
68
Published 10 Sep 2021

JWTZ na JESHI la MAREKANI Baada ya MAFUNZO ya PAMOJA ya KUKABILIANA na UHALIFU, WAFANYA HAFLA.. Mafunzo ya Makomandoo (PTC) yamefungwa leo Septemba 10, Kunduchi jijini Dar es salaam. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 30
  • @
    @chagogegereka28893 years ago Hapo ndipo wanapo pandikizwa wanajeshi wa tanzania kuwa vibaraka wamarekani. 3
  • @
    @MohamedHassan-zc5bl3 years ago Sijui hawa wamerekani wana maslahi gani na nchi za kiafrica? Kila nchi wa afrika wameweka base. 3
  • @
    @SM-fu1yv3 years ago Mama duh mmarekani yupo tanzania sasa.
  • @
    @yohanajoseph57733 years ago Hongera sana jeshi la jwt kuweka sawa inchi yetu. 1
  • @
    @shinipapaya8463 years ago Nimeota ndoto mbaya sana wanaogopa atazaliwa new magufuli maana aliwatingisha vibaya mnoo.
  • @
    @emmadeprincetv61333 years ago Mna urafiki namjipange kimtindo adui yako ndio rafiki yako. Mtaitafakari kaulu ya jk kikwete natumain kuwafundisha ili mtafunwe vizuri anyway nisiongee sana mungu pekee atusimamiee vyemadaima nitaifia. ...Expand 1
  • @
    @salamanhonya96773 years ago Hongera kwenu jeshi la jwtz. Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika. 2
  • @
    @swala21703 years ago Majambazi number one ndiyo hao!
    na kwa madharau mengi wamarekani wote hawakuvaa kofia.
  • @
    @bashaakumaarpandan90213 years ago Mazoezi ya pamoja ninayoyajua mm ni marekan na korea ya kusini full vifaru na ndege za kivita. 1
  • @
    @ibnhassan99803 years ago Mzungu anamsaluti mtu mweusi tena bila ya kofia. 1
  • @
    @ndimimaskati36413 years ago Mnajitayarisha ikifika wakati wa uchaguzi mkauwe wazanzibari katika nchi yao. 2