Duration 11:21

Viumbe 7 Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.

by YIB
192 561 watched
0
1.1 K
Published 18 Dec 2019

In this Video: Muda mwingine Asili ni kitu kimoja ambacho ni kigumu sana kukielewa, kama binadam tuna utashi mkubwa kuhusu maisha ya viumbe mbalimbali Duniani, lakini muda mwingine viumbe hivyo vinatusababisha tupoteze muda mwingi kujifunza undani kuhusu maajabu yatokanayo na viumbe hivyo mfano, Kichwa ni sehemu muhimu sana katika mwili wa binadamu, lakini sio sawa na umuhimu wa kiwiliwili kwa viumbe hawa (kadhaa)ambao leo tumeamua kukuletea ujifunze zaidi ikitokea umekutana nao njiani usiweze kushangaa kwani hata kama utafanikiwa kukata vichwa vyao bado uhai utabaki katika kiwiliwili chao. Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Check out other videos on the Channel: Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/kNo-MbpMI99M- BG Music: Intrepid Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Camarah Written by: Dijjah Edited & Produced by: Dsilly #YIB #YourInformationBook

Category

Show more

Comments - 56