Duration 8:49

Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.

by YIB
2 366 watched
0
32
Published 23 Oct 2019

In This Video: Tangu HIV Imeenea Duniani, Zaid ya watu mil 70 wameambukizwa, na kati ya hao Million 35 wamepoteza maisha., lakini namba hii ya watu inaweza kuzidi kati ya siku na siku, kwasababu hakuna anae pona bali wagonjwa ndio wanao ongezeka Ingawa kama utapta dawa sahihi basi ugonjwa huu sio hukumu ya kifo kwako, UKIMWI- Ni kifupi cha neno Upungufu wa kinga mwilini' Upungufu huu kwa case ya HIV, unatokana na virusi ambavyo vinashambulia seli zinazolinda kinga ya mwili ziitwazo CD4 T, Sasa seli za CD4Tni aina ya seli hai nyeupe ambazo huitwa helper TCells, kila zinapogundua kuna adui zinafanya kazi ya kupambana nae, kiufupi unahitaji sana walinzi hawa kwenye mwili wako, Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ SUBSCRIBE HAPA: https://bit.ly/2GMBiSB Check out other videos on the Channel: Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Shimo Lililochimbwa Kuelekea Kuzimu.! /watch/ggMcSXjXkM7Xc Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT BG Music : Floating Cities Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Camarah Written by: Dijjah Edited & Produced by: Dsilly Sources: https://aidsinfo.nih.gov/ https://www.hiv.gov/hiv-basics/overview/history/hiv-and-aids-timeline https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3119211/ https://science.sciencemag.org/content/224/4648/500 https://www.who.int/gho/hiv/en/

Category

Show more

Tags

Comments - 3