Duration 9:49

Bobi Wine ( Robert Kyagulanyi) Adai kuwa Uchaguzi Mkuu Uligubikwa Na Udanganyifu Mkubwa

88 watched
0
0
Published 17 Jan 2021

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anaongoza katika matokeo ya awali yaliyotolewa hii leo na tume ya uchaguzi katika kinyang'anyiro cha urais kilichofanyika jana huku mpinzani wake wa karibu Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine akidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na udanganyifu mkubwa. ☑Waasi kundi la ADF linaloendesha harakati zake mashariki mwa Congo, jana wameshambulia kijiji cha Masini katika wilaya ya Irumu,kasenyi mkoa wa Ituri Kaskazini mashariki ya Congo, na kuwauwa Mbilikimo 46.

Category

Show more

Comments - 0