Duration 4:27

Teknolojia ya matumizi ya gesi kwenye magari imeanza kufanya kazi nchini

5 485 watched
0
32
Published 20 Jun 2019

Je, umewahi kuona gari linalotumia gesi badala ya kutumia mafuta? Je, matumizi ya gesi ni nafuu kiasi gani ikilinganishwa na matumizi ya mafuta? Ungana na Esterbella Malisa kwa undani zaidi.

Category

Show more

Comments - 5