Duration 18:28

Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars Mwl. ROGASIAN KAIJAGE | FEITOTO, AMBUNDO na AZIZ KI | Wazawa hawa

146 watched
0
6
Published 27 Jun 2023

Mwalimu Rogasian Kaijage AKIELEZA namna ambavyo wachezaji Wazawa hawaaminiki Wala kupewa nafasi ya kucheza mfululizo kama ilivyo kwa wageni. Anasema kwa uzoefu wake kwenye soka la Tanzania hakuna kuinua, kukuza wala kuvitunza vipaji vya soka. Amemtaja Dickson AMBUNDO kuwa ni mchezaji hatari zaidi ya hata Ducapel Moloko na Kisinda bali tatizo ni kutoaminika kwa wachezaji wazawa. Alisema hayo alipopiga stori na mwandishi wetu Raphael Lima mara baada ya semina ya Makocha wa Ilemela ambayo iliendeshwa na Chama Cha Soka Wilaya Ya Ilemela, chini ya Katibu mkuu wa chama hicho Almas Moshi.

Category

Show more

Comments - 2