Duration 8:10

VIDEO; MAYELE AMCHANA FEITOTO, Umeisaliti YANGA Kutetema MISRI Mwakani

95 861 watched
0
439
Published 23 Jul 2023

#yangaleo#yangaleo#yanga#simbasc#usajilimpya#jezimpyayasimba2023#mayele#kombelashirikishoafrica#feitoto

Category

Show more

Comments - 52
  • @
    @dianasamson93119 months ago Mayele you will always be in our heart. We love your spirit bro. Mungu akusimamie huko uendako. Mwanasoka imara mnyenyekevu, uliye na maadili na id="hidden1" upendo wa kweli. Kwa hivyo ulivyo utafika mbali sana. Na ss wana yanga tunakuombea daima mbele nyuma mwiko. Our champion live long. ...Expand 3
  • @
    @user-hn9sj6fp3g9 months ago Tunakupenda sana mayeree mungu akakusimamie uko uwendako. 4
  • @
    @FredsonHytham-dx4xk9 months ago Aliyemfundisha kiswahili mayele katuletea balaa kweli. 5
  • @
    @nicholauskilosa53369 months ago Mayele wewe ni kipenzi cha wanamnooo mwamba nenda lkn usisahau kwamba mashabiki wa yanga tutakumiss. 11
  • @
    @brysonkaale30038 months ago Mbali na kipaji cha mpira mayele ni mchezaji mwenye busara na adabu, hana makuu! 3
  • @
    @mrsultanzimbwe67469 months ago Player wote tumewasahau waliondoka yanga lkn mwamba mayele tutamuombea mema daima hana baya hana urojo rojo alafu pengo lke halijazibwa kamwe. Lkn kina skudu max na pacome wametusaulisha kina mwembe ladu sptl ya wazazi. 5
  • @
    @dvoicemaxmia11829 months ago Fei umeanza kutoka maupele tena na vijipu uchungu hahaha pole sana. 1
  • @
    @mohammedhimba16479 months ago Yaani fei laati kama ungekuwa na sabra na kucheza mpaka wa mwisho shirikisho na ukakiwasha wallahi ungesajiliwa kwa pesa nyingi zaidi lakini ni fungu la kukosa. 6
  • @
    @abdallahshaibu61069 months ago Beans mayele ninakuombea kila la kheri mungu alinde kipaji chako. Maana umeondoka yanga bila guyana yoyote. Siyo mtu mmo hakutaka yanga ifaidike. Lakini wewe mayele kiroho safiiu. 2
  • @
    @ains11229 months ago Lakini asije kutetema kwa ligi ateteme huko nje. 1
  • @
    @marryfelician14269 months ago Mayele Nimeumia sana kwa nini tu natamani ningekuwa na hiyo hela nikakununua ukabaki yanga afrikan huyo kilaza mwingine alitusaliti kabla kwa hiyo hatustui sana .. ...Expand
  • @
    @gaudenciaantony55239 months ago Mayele lugha utadhani kazaliwa bongo, arudi akishindwa.
  • @
    @tumainielmremi79129 months ago Yanga ni bora kuliko fei na mayele. Bora mayele fei ni msaliti. 2
  • @
    @user-cc8le8bx5s8 months ago Nakweli katuteka wengi unajunini ataruditu.
  • @
    @user-ck3db6zv8t9 months ago Mayele nenda ila ukiona huko kumebana lud nyumban.
  • @
    @pendokitalo22959 months ago Wao wanakikomo saivi vicheko klabu siku zote haina kikomo. 2
  • @
    @burudanitiv3249 months ago Nyie wote ni mafara tuyy mipuuzi kweli. 3
  • @
    @peninakuonewa8 months ago Jamaa yako huyo amepoteana ateteme wakati ajui kuupiga bila sapota wazuri yanga hii ya mabao mh balaa tunazidi kumsaau tu huyo bingwa wa faulo.
  • @
    @PAULCHARLES-bf5fv9 months ago Fei wee ndo unaifanyia umafia yanga, hta mayele umemharibu tareh 9 lazma utolew kwa machela. 2
  • @
    @donaldbenedict57619 months ago Huyu dogo msaliti angalia mayele kawa muungwana leo anakula matunda yake misri. 1
  • @
    @fucianejoseph52549 months ago Acheni umbea nyie ni wapitaji tu, from ukerewe 2geza is 1.
  • @
    @IslahiMohamed-qi2jf9 months ago Mpira maslahi tafuteni pesa musiwasikilize wasiojua maisha. 2
  • @
    @dianasamson93119 months ago Mayele you will always be in our heart. We love your spirit bro. Mungu akusimamie huko uendako. Mwanasoka imara mnyenyekevu, uliye na maadili na id="hidden7" upendo wa kweli. Kwa hivyo ulivyo utafika mbali sana. Na ss wana yanga tunakuombea daima mbele nyuma mwiko. Our champion live long. ...Expand 3
  • @
    @marryfelician14269 months ago Mayele Nimeumia sana kwa nini tu natamani ningekuwa na hiyo hela nikakununua ukabaki yanga afrikan huyo kilaza mwingine alitusaliti kabla kwa hiyo hatustui sana .. ...Expand