Duration 24:42

Christian Testimony Video | Ukombozi wa Moyo (Swahili Subtitles)

2 086 watched
0
129
Published 5 Jun 2020

Christian Testimony Video | Ukombozi wa Moyo (Swahili Subtitles) Mhusika mkuu, kiongozi wa kanisa, anagundua kutoka katika kura iliyopigwa kanisani kwamba ndugu wengine wamemripoti Dada Li kuwa asiyejali katika wajibu wake; wanaripoti kwamba yeye hakubali ukweli, huwakaripia watu kwa kiburi, na anawakandamiza. Kiongozi wa kanisa anajua vyema kwamba, kulingana na kanuni za ukweli, Dada Li anapaswa kuachishwa kazi, lakini amepotoshwa na kushawishiwa na falsafa za kishetani kama “Damu ni nzito kuliko maji” na “Mwanadamu asiye na uhai anawezaje kukosa hisia?” Kwa kuzingatia kuwa wanatoka katika mji mmoja wa nyumbani na alikuwa karibu kila wakati, yeye anatenda kulingana na hisia zake, anamkinga na kumlinda Dada Li mara kwa mara. Baadaye, ni kwa sababu tu ya hukumu na ufunuo wa maneno ya Mungu, ndiyo anaweza kuona asili na matokeo ya kutegemea hisia katika vitendo vyake. Anakuja kuwa na utambuzi fulani wa falsafa hizi za kishetani na hategemei tena hisia zake anapokumbana na maswala, lakini badala yake anatenda kwa dhamiri kulingana na kanuni za ukweli. Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1 App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528 Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org

Category

Show more

Comments - 1