Duration 1:29

GOOD NEWS, SERIKALI KUPELEKA WAALIMU WA SCIENCE KILA SHULE YENYE UPUNGUFU WA WAALIMU WA SCIENCE

649 watched
0
3
Published 8 Jul 2021

Serikali Kupeleka Walimu wa Sayansi Sekondari Zote Nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) amezitaka shule zote za Sekondari nchini zilizo na mapungufu ya walimu wa masomo ya sayansi kuainisha mahitaji yao ili Serikali iweze kupeleka walimu wa masomo ya Fizikia, Kemia, Baiolojia pamoja na Hesabu ili kuhakikisha kila shule ya Sekondari inapata walimu wa masomo hayo. ©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA --------------------------------------------------------------------------------- JIUNGE NA CHANNEL YETU APA: https://bit.ly/38iK1ae FOB JOB ALERTS VISIT OUR WEBSITE HERE; https://bit.ly/2UBBAQf ----------------------------------------------------------------------------------- REPORT TO US If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest. COPYRIGHT VIOLATION For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us assengablogtz@gmail.com

Category

Show more

Comments - 1