Wiki hii katika BBC Michezo Afrika, kutana na Shakira, dada ambaye mieleka imemsaidia kujikinga dhidi ya magenge ya wahalifu katika mitaa ya Kinshasa, na pia anawalinda wasichana wa mitaani wasinyanyaswe na magenge hayo ya wahalifu.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for BBC MICHEZO AFRIKA: Mieleka ilinisaidia kujikinga na magenge ya wabakaji Kinshasa- Shakira: