Mpapai unaaajabu mengi katika tiba kwa kila kitu katika mmea wa mpapai ni dawa mfao: Majani, tunda, mbegu, utomvu a mizizi vyote hivyo katika mmeo huo ni dawaa,. Titizo ni elimu amna gani ya kuvitumia vitu hivyo.
Katika video hii imeonesha machache katika mengi yanayoweza kutibiwa kwa kutumia mmea huu wa mpapai, na hapo tumeangalia vitu maradhi kama kutopata choo vizuri, matatizo ya figo a kibofu cha mkojo, gono, UTI sugu, tatizo la kukojoa kitadani, ngiri, chango na minyoo.
Category
Show more
Comments - 27
@
@robertmsilanga72904 years agoAhsante sana mwalimu kwa kutujuza na kutupa mwanga.
@
@jailomhengilolo28985 years agoBarikiwa kwa somo hili nmejifunza ahsante.
@
@dktfelixadrian54185 years agoAsante kwa kuelimisha jamii, ubarikiwe sana.
@
@neemaneema47405 years agoKaka asante sana mimi nimekuelewa sanaaa. 2
@
@lahelmichaelgeorge53 years agoAxant kwauxhaur mzr py nawez kupt namb yak.
@
@alhandroraj80095 years agoJee kwa hernia ya tumbo tiba yake ni gani, tumbo imejaa maji na ningumuu. 2
@
@manasebakunda24095 years agoAhsante Sana kwa elimu hiyo uendelee kutuelimisha zaidi
@
@habibaramadhani49025 years agoShukrani kwa somo zuri, ni vyema watu watumie tunda hilo, yaonesha lina siri za ziada. Amina.
Related videos for MAAJABU 7 YA PAPAI KATIKA TIBA: