Duration 1:29:41

Welcome First Year Party

319 watched
0
13
Published 7 Nov 2021

Maisha ya Chuo inafanya live hii ili kuongea na first year na wanaoendelea kuhusu maisha ya chuo, kujibu maswali mbalimbali, kusoma kitabu cha muongozo wa maisha ya chuo bure kwaajili ya first year na kuongelea maisha ya chuo kwa ujumla... Kutakuwa na mziki, njoo na kinywaji chako na chakula, tuongee, tule, tucheze, tuanze maisha ya chuo kwa pamoja

Category

Show more

Comments - 10