Duration 1:35

Kwanini Tajiri Anazidi kuwa Tajiri

613 watched
0
10
Published 26 Feb 2021

Kwanini Tajiri Anazidi kuwa Tajiri? Je ulishawahi kujiuliza kwanini bei za vitu vikipanda Tajiri halamiki wakati huohuo mtu mwingine anamlamikia huyo Tajiri amuongezee mshahara. Inabidi ifike mahali tubadilike kama tunataka kuwa tajiri.

Category

Show more

Comments - 5