Duration 1:27:22

MANARA ANAFUNGUKA MAZITO AMTAJA DIOMOND NA WABUNGE

114 watched
0
1
Published 4 Aug 2021

Aliyekuwa msemaji na mhasishaji wa klabu ya Simba Haji Sande Manara amefunguka baada ya kutimuliwa katika nafasi yake ya usemaji, ameongea na wandishi wa habari na kusema yeye ameipambania timu ya simba toka ikiwa na hali mbaya mpaka imefikia mafanikio.

Category

Show more

Comments - 0