Baada ya Headlines za Mh. Edward Lowassa Januray 09, kwenda Ikulu kuonana na Rais Magufuli na kupongeza baadhi ya mambo yanayofanywa na Serikali yake awamu ya tano, kuna mengi yamezungumzwa kwenye mitandao, Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma naye ameona kauli za baadhi ya watu kushtushwa na kitendo cha Edward Lowassa kumpongeza Rais Magufuli.
@fokasiinnocent34486 years agoMsukuma upo vizuri sana na mungu akubariki.
@
@godfreymihumo77666 years agoNakuelewa sana mwanaharakati mwenzangu.
@
@joycekaaya2046 years agoMsukumabhana! Hatari sana, meza mate basi!
@
@raphaelpaschal78926 years agoMsukuma uko vizuri, mbona wakati wa utawala wa mheshimiwa jakaya mbowe na wenzake walikuwa wanashinda ikulu, leo lowasa ana dhambi gani kwenda ikulu? Waambie hao, hawana ubavu wa kumhoji lowasa. 1
@
@rukiarashid82226 years agoHabari ndio hyo, ujumbe umeshautuma! Kazi kwao kukuelewa au kukubenza.
@
@princesaintnewton41756 years agoAhsante baba bado mm njooni mnihoji nimalizie shuguli.
@
@sultanvdeo49966 years agoMsukuma upo vzuriii nakukubali sana wape vidonge kaka.
@
@officialkamdudu6 years agoUmeua! Tuone mwenye mbwa kama atang' atwa na mbwa wake. dadeki! 22
@
@saleheinnocent76366 years agoUnaweza kutukana kila mmoja wetu isipokuwa makonda na boss. 3
@
@edinachami17546 years agoDuu! Kweli mbowe mmeiua chadema wenyewe mtamkumbuka dr silaa. 8
@
@methodneka27916 years agoJamani kumbe chadema iliuzwa. Na hao viongozi ni watumishi wake au? 3
@
@allenmunuo91336 years agoKidampa hahaha msukuma you made my day. 1
@
@khadijapazia40626 years agoKing nimetokea kukupenda sana aisee hasa nikiona ile cm yako.
@
@mercyemmanuel85366 years agoYap hadi raha ukweli ndiyo huo. Ccm mbele kwa mbele. 2
@
@stewartmillanzi39186 years agoMmmh. Nilikuwa sijakuelewa vizuri. Kumbe unajichanya tu kwenye maelezo yako.
@
@amosdaudi97936 years agoHahahahahaha supar mzee baba umewapa ya jandoni.
@
@fadhilimgohamwelu18916 years agoMsukuma nimekuelewa sana na nimekukubali. 26
@
@veronicazacharia20806 years agoWw una akili kuliko mbowe kasome qt kwanza. 2
@
@damaswatanda38996 years agoBrother me huwa nakuelewa sana punguza ukali wa maneno mzee huko alipo kwenda pamemshinda.
@
@saidwilson65296 years agoHili shoga kweli eti nalo linajiona linaongea point. 5
@
@babary16906 years agoHuyu ni mzima kweli? elimu bure. 4
@
@marcomasaka47736 years agoLowasa huo ndo ukomavu wa kisiasa. ccm ndiko ulikoanzia na mr president anafanya kazi nzuri na anakaa na watu kupata ushauri nawe lowasa umeliona hili na kukutana na rais. big up magufuli!
@
@josephnchunga65546 years agoUko sawa mbunge wa geita hilo ni genge la wahuni hata ukiwakabizi serikali hao wataipeleka inchi pabaya sana hawafai kuongoza inchi.
@
@shedynanda73936 years agoMwehu ww hunaakili maana umetumia muda mwingi lakin hueleweki duhh kweli ww nimsukuma kweli. 2
@
@emmanuelnkinga21736 years agoAah. Mwenye mbwaa hawezi ng' atwa na mbwaa wake.
@
@hakianani20096 years agoUkweli unauma msukuma wape vidonge vyao mimi mwenyewe chadema dam lakin kwa hili tupe vidonge vyetu tujirekebishe.
@
@joshuaelihuruma26326 years agoHivi haka kajamaa kanavuta bhangi ya wapi?
@
@sky-wz5zi6 years agoHe, msukuma kanichekesha jmn, mwanzo anasema lowasa arudi azikwe kwa heshima. Gafla anasema hamtaki asirudi huko. Halafu msukuma una pumzi sp 360 aise, hupumziki, huhemi wala humezi mate hata kope hukapuii uwih, nimecheka jmn. ...Expand2
@
@riscaoscar5216 years agoMeza mate basi duuu jamani hyuy baba anaongea sana haaa haya safi.
@
@jisephmaganiko38596 years agoKweli elimu inamsaindia mtu huyu jamaa mbona ata simuelewi mara joo mara hatukutaki duu geita jaribun kufumbua macho. 7
@
@mwajumakweli67536 years agoHahahahaha huyu msukuma bhana mbona anachanganya mada mala oh arudi tu mala ooh akae huko du. Kweli huyu msukumaa.
@
@abdulkiswanya51046 years agoMsukumanjoo huku ndio nyumbani mara kaa huko na wahuni wenzako, mara siwezi kuwa na namba ya muhuni, duh basi tu nimechoka.
@
@yassininabwera626 years agoHuyu ndie mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wajoseph msukuma(nchi ihalalishe bangi)hivi kweli seriously huyu ni mbunge anatuwakilisha za nchi na pia kuisimamia serikali ilete maendeleo ya nchi! Kweli jamanibwana. ...Expand19
@
@eliajimmy51286 years agoSiku zote mwenye akili finyu hutukana badala ya kujenga hoja huwezi kuita chama upinzani ni genge la wahuni wakati vyama upinzani vinatambuliwa na katiba. ...Expand6
@
@ayubudtktv26846 years agoDa kweli lowasa mkuu unaogopeka mzee wamwennyewe anasema nchi hii hakuna wa kumgusa lowasa,
@
@lameckzacharia44896 years agoMsukuma sjawahi kuacha kufuatilia clip zako coz ww nishuja wasiasa unajua kuwajibu wapinzani wa bongo. Ha et tuone mbwa ana ng' ata mwenye mbwa, pole. ...Expand
@
@aloycemwakatala26346 years agoUnauza sura kwenye media kwaajili ya maneno mabovu namna hiyo? Na bado mwandishi wa habari anakusikiliza da ana roho ngumu.
@
@UlimeA6 years agoEt genge la wahuni. Haya bana eti nyanya zimefyekwa na dc.
@
@eliasobah62986 years agoEleweka bhasi we mwanaume mara njoo mara hatukutaki, asa msimamo wako ni upi? Au hujui unachonena.
Related videos for Lowassa huku usije hatukutaki, ukija unapumzika Musukuma:
dadeki! 22
elimu bure. 4
ccm ndiko ulikoanzia na mr president anafanya kazi nzuri na anakaa na watu kupata ushauri nawe lowasa umeliona hili na kukutana na rais.
big up magufuli!