Duration 18:37

FUNZO: DALILI ZA JICHO LA TATU KUFANYA KAZI

14 305 watched
0
184
Published 2 Oct 2020

WHATSAPP - +255 (0) 734 779 293 #DNJLSTUDIO #2023 #©™✓ #YOUTUBE #SHORTS #GOD #JESUS #LORD #GOOGLE #LIFE #DMENDTV #JIPEMEDIA #LITEMEDIA #NGUNAMEDIA

Category

Show more

Comments - 70
  • @
    @noelbernard6390last year Kuna kitu naanza kuelewa, mwaka jana nilikuwa nafanya kazi masaki, sasa boss wa jengo nililokuwa nafanya kazi alikuwa muhindi, alikuwa hataki kabisa kukutana . ...Expand 4
  • @
    @evancymassawekenya75213 years ago Ooh my god ndio maana nawezanga jua kitu before akijatokea na kinatokea kweli hata baya nalijua na mmbaya kabla ajanitendea alichoniwaziamungu azidi kunipa upeo zaidi. 5
  • @
    @merrymangungula18244 years ago Linafunguliwaje sasa, nashukuru sana vyote unavovisema nimezaliwa navyo tena nilipokua na umri mdogo nilikua natambua hata mtu anachokiwaza. 5
  • @
    @vancandy8343last year Kuna tisha kuna bonge moja la giza ukiwa unaanza nikiona ivo tu nafumbua macho.
  • @
    @happyngoda70562 years ago Me kwenye paji la uso huwa panakandamiza mda mwingine panacheza.
  • @
    @merrymangungula18244 years ago Duu, nashukuru sana ni kama unanitaja mimi tu, lkn kwa sasa imepungua natamani iwe kama zamani, zaman nilikua na uwezo wa kuona kila kitu kabla hakijatokea. 3
  • @
    @carolinetev26314 years ago Haya unayoyasema niukweli lakni nisawa kufungua jicho la tatu? 1
  • @
    @jamessimbaire30162 years ago Kaka jicho langu la kushoto huwa likicheza upande wa juu napataa taarifa ya msiba maan yake nini.
  • @
    @marysanka-sl3yolast year Mm naomba ushauri nilkw naon vityu vinavyokuj mbelen iwe taarif mbay litakalo tokea hv krbn, lkn likitokea km nilvyoon huwa naogop lkn kwasaiv hit hal imepote, je iyo inaashiria nn?
  • @
    @marymamntine19094 years ago Aise kuna vitu baadhi vinanitokea kabisa.
  • @
    @yusuphnammadede68233 years ago Nilifungua baada kuona ganzi mwili mzima nakuona kama kunakitu kinavuka nikaogopa. Kila nikijaribu tena ili nimalizie nashindwa. 1
  • @
    @selinjsf7237last year Mm nikifunga macho tu naona kichwa cha mtu akinitolea macho mpaka naogopa. 1
  • @
    @yusuphnammadede68233 years ago Je kwaanini mm huwa chukia watu baadhi ghafra. Ijapo kuwa nikijuuliza mm mwenyewe sijuikuwa kawaida siwezi. 1
  • @
    @emmycalvin50733 years ago Mm siku hz mchawi akija huwa namuona kabisa na wengine mpaka nawajua. Je ilo ndo jicho la 3. 2
  • @
    @carolinetev26314 years ago Inakubalika kidini kwa wasilamu na kwa wakilisto? Tusije tukaingia katika ushirikina? 3
  • @
    @fatimasalim5972 years ago Mm nilishawahi kubebwa na ucngiz gafla tuu nikaona mtu kaja yupo uchi wa mnyama tana ni mwanaume nilipo kurupuka kweli nikasikia yule mtu akiita huko njee cjajua ni kwann napia ni mara nyingi sana.
  • @
    @salhahassani81152 years ago Kwani ukifungua la tatu watu wengine watakua wanaliona.
  • @
    @carolinetev26314 years ago Salami nyingi sana kwako kakangu. Nakuuliza hivi jicho siouchawi? 2
  • @
    @desdeliussebastian85184 years ago Hivi kuna vyuo vya kufundisha jambo hili? 1
  • @
    @athumaniwaziri93922 years ago Miye hujiwa na usingizi wa ghafla ukiambatana na njozi ya kuteleza kisha kushituka kwanguvu kwakujizuia nisidondoke. Nn maanae.
  • @
    @mashauri_tz49704 years ago Nisaidie sometimes naweza nikawa nimekaa ghafla sikio linakuwa zito sana kama limebebeshwa mzigo mzito sana.
    ama mwili sometimes unakuwa kama umeganda sehemu moja bro.
    2
  • @
    @noelbernard6390last year Kuna kitu naanza kuelewa, mwaka jana nilikuwa nafanya kazi masaki, sasa boss wa jengo nililokuwa nafanya kazi alikuwa muhindi, alikuwa hataki kabisa kukutana . ...Expand 4