Duration 4:49

NDEGE YA KWANZA KUUNDWA TANZANIA

19 120 watched
0
92
Published 28 Sep 2018

Mgunduzi alietengeneza magari na helicopter ya kwanza sasa anatengeneza ndege yake hapahapa. #Tanzania #Zanzibar #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "VISA VYA KUSISIMUA | MAKALA | HABARI | VIPINDI MBALI MBALI | HAPA HAPA KTV TZ ONLINE" /watch/UCCjImRevsTej -~-~~-~~~-~~-~- #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Category

Show more

Comments - 29
  • @
    @ktvtzonline6 years ago Number ya kuwasiliana na ktv ni +255 625 323 932. 4
  • @
    @latifahamisi30516 years ago Mashaa allah azidi kukupa kipaji zaidi ya hapo inshaa allah. 5
  • @
    @allysaid67426 years ago Masha allah hongera sana coach sugu bakumbuka mwaka 2012 uliponipakia kunipeleka home na gari yako ya sugu 2. 1
  • @
    @mwakahassan87425 years ago Mtaji wa masikin nguv zake mwenyew honger kaka.
  • @
    @qaiszahran79926 years ago Nakukubali sugu wewe unaweza kuliko wote tanzania.
  • @
    @bkassimidarous20766 years ago Ktv tz online nendeni na jumbi wilaya ya kati u/nguja yupo jamaa anatengeneza ndege hatari sana uyo jamaa anaitwa hassan ali bakari hem nendeni nako mkaone. 1
  • @
    @rogerabdallah4397 months ago Okay mnasema anaweza kutengeneza gari mpaka sasa kashatengeneza gari dizaini gani mpaka nataka kutngeneza ndege asije kuuwa watu.
  • @
    @MavaziClothing5 years ago Inabidi abaki kwenye kuitengeneza magari aache mawazo ya ndege. Kwani anatakiwa aboreshe ubora wa gari yake.
    na aweke fikra zote hapo kwenye ufanisi aliojaariwa.
  • @
    @fahadfahmy6 years ago Kwanini hilo gari mnaliwacha linakufa hapomakumbusho.
  • @
    @suleimantwn91045 years ago Mm nipo tyari kusrkana na huyo wasababu mm pia nina kipaji nadhani kukisrkana tunaweza kutengneza kitu kimoja na kufankazi bila shaka.
  • @
    @princeganji27795 years ago Hawa ndio wa kupewa kipaumbele na serikali ili kiendeleza kipaji na kuongezewa ujuzi lakini africa duhhh kaziao siasa za kijinga.
  • @
    @freddymello32276 years ago Mbona wanaotengeneza makolokolo ya namna hii wapo wengi mitaani.
  • @
    @mhogomchungu71685 years ago Hapo domo tupu hakuna hata dalili na hivyo anavyoelezea hiyo engine haifahamu hata kidogo.