Duration 7:28

Mac au PC , Computer ya kununua kwa matumizi ya Graphics Design

6 050 watched
0
132
Published 8 Nov 2018

Katika Video hii nimeelezea vitu vya kuzingatia unapotaka kukunua Computer kwa ajiri ya Graphics design. Siku zote zingatia mambo yafuatayo. Haijarishi ni MAC au PC, Desktop, iMAC Kinachozingatiwa ni Sifa za computer *************PHOTO EDITORS******************* Kama wewe unafannya Graphics design ambazo sio intensive kama ku edit picha, poster, Logo Design Basi. Hakikisha una Computer Atleast iwe Core i3, Ram 4G, Graphics Card 1GB, HDD 500GB na kuendelea **********VIDEO EDITORS / MOTION DESIGNERS ********* PROCESSOR Hapa haina kupinda pinda unahitaji CORE I7Hasa za 3rd generation na kuendelea, unawezaje kujua generation ya proccessor ?. ni rahisi kila computer proccessor yake ina code mfano Core i7 - U5CX Hio 5 inawakilisha 5th Generation kwa sasa tupo ktk 7th Generation cha proccessor RAM Kwa kuanzia anza na 8Gb rakini binafsi nashauri 12GB Ila Seting rafiki ni 16GB Kwa sababu ku export au kurender kazi ya 3D sio kazi ya kitoto 😃tuulize sisi tulianza SCREEN SIZE Hebu tuwe serious na kazi Unapofanya modeling au lighting unahitaji kuona vitu kwa umakini kadri iwezekanavyo hapa ndugu yangu hamna namna lazima uwe na laptop yenye kioo cha 15inch nakuendelea, ila itakuwa bomba ukipata cha inch 17 au kama unatumia external monitor sio kesi ukapata hata cha display ya 4k au curved STORAGE Huna jinsi lazima kutumia SSD angalau hata ya 128Gb kwa ajiri ya system na rendering, huko kwingine acha HHD 1TB au zaidi, au hata SSD ya 256GB.

Category

Show more

Comments - 26