Duration 4:00

HUYU NDIYE TB JOSHUA KUZALIWA HADI KIFO CHAKE SAA CHACHE BAADA YA KUMALIZA IBADA/KAULI YA MWISHO

5 734 watched
0
10
Published 6 Jun 2021

Muhubiri maarufu kutoka nchini Nigeria Temitope Balogun Joshua, maarufu TB Joshua amefariki Jumamosi ya Juni 5, 2021 nyumbani kwake Jijini Lagos, muda mfupi baada ya kumaliza kutoa mafundisho yake. Aidha taarifa ya kifo chake ilisema: Mungu amechukua maisha ya muhudumu wake TB Joshua kulingana na uwezo wake. Amefariki akimuhudumia Mungu. Taarifa hiyo imetaja sura moja katika biblia inayosema : Mungu muweza hawezi kufanya lolote bila kutoa mipango yake kwa watume wako. " - Amos 3: 7 Siku ya Jumamosi tarahe 5 Juni 2021, mtume TB Joshua alizungumza katika mkutano wa runinga ya Emmanuel. ''Kila kitu kina wakati wake - tunapokuja hapa na kuomba na tutarudi nyumbani baada ya utumwa''.

Category

Show more

Comments - 2