Duration 7:51

MAMIA WAMUAGA BISHOP ZEPHANIA RYOBA/MAKONDEKO AELEZA ALIVYOMFAHAMU.

257 watched
0
1
Published 22 Dec 2021

Mamia ya watu wamejitokeza katika Viwanja vya Kanisa La CAG Mabibo D'Salaam kutoa Heshima zao za Mwisho kwa Katibu Mkuu Taifa wa Kanisa La Calvary Assemblies Of God (CAG)Hayati askofu Zephania Matiko Ryoba ambaye alifariki Tarehe 14/12/2021 baada ya kuugua kwa muda. #LiveOnLive

Category

Show more

Comments - 3