Duration 25:28

BBC MICHEZO AFRIKA Feb 2020. Mkasa wa Cabinda 2010, Kodjovi Obilale kipa wa Togo asimulia

761 watched
0
7
Published 10 Feb 2020

Wiki hii katika BBC Michezo Afrika tunarudi nyuma miaka 10 iliyopita kukutana na Kodjovi Obilale, mlinda lango wa timu ya taifa ya Togo aliyenusurika kifo kufuatia shambulio la risasi dhidi ya basi la timu ya Togo kwenye eneo la Cabinda, kaskazini mwa angola kabla ya kuanza michuano ya AFCON mwaka 2010. Watu watatu waliuwawa; Obilale alipigwa risasi mgongoni na anishi na ulemavu nchini Ufaransa.

Category

Show more

Comments - 0