Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali akibubujikwa na machozi bungeni jijini Dodoma ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kumpokea pale muds wake wa ubunge utakapokwisha akisema amechoka kuendelea kutumika vibaya ndani ya chama chake cha sasa
#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates
Category
Show more
Comments - 151
Related videos for Mbunge Lijualikali Aangua Kilio Bungeni I Asema Amechoka Kutumika CHADEMA I Aomba Kujiunga CCM: