Duration 8:50

AJIRA MPYA za MADAKTARI 610, WAZIRI JAFO AZUNGUMZA - WATAGAWANYWA KWENYE VITUO 300

9 366 watched
0
51
Published 8 May 2020

AJIRA MPYA za MADAKTARI 610, WAZIRI JAFO AZUNGUMZA - "WATAGAWANYWA KWENYE VITUO 300" Waziri wa nchi, ofisi ya Rais, Tamisemi, Seleman Jafo, Amesema mchakato wa nafasi za ajira Kwa madaktari 610, walizozitangaza mwezi Machi, umemalizika kwa Madaktari 610 kupatikana ambapo wanatarajiwa kugawanywa katika vituo vya afya zaidi ya 300 vilivyojengwa nchini.... Akizungumza na waandishi wa habari, leo Mei, 8 2020, jijini Dodoma Amesema mpaka sasa Tamisemi Imeajiri Jumla madakatri 9839........ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline JE, NA WEWE UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com OUR PLAYLIST: HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 29