Duration 8:55

Kumekucha mtangazaji wa Millard akiri kuwa na mahusiano na DIAMOND/ atukanwa matusi mazito

4 448 watched
0
55
Published 10 Jul 2021

Category

Show more

Comments - 32
  • @
    @shabanihamisi1153 years ago Yuko sahihi sana tu kuzungumza kilicho moyoni mwake. Hayo mengine ni ya Utanzania wetu tu unatusumbua wa zama zile za Ujamaa ulishindwa kabla hata haujaanza !! Tunatamani usasa wa kinagharibi wakati mambo yake hatuyataki. Miongoni mwa usasa wa Kinagharibi( Ubepari) ni UWAZI ili mradi huvunji sheria. Kosa lake liko wapi? ...
  • @
    @misrahmisrah87613 years ago Ushachezewa kaa pembeni umpishe mwengine, ila ilobaki endelea kupima afya yako usonge mbele, kwa diamond usimtegemee kukurudia wala kukuowa kama kashakuzalisha endelea kulea mtoto wako kama waliozalishwa wenzio. Tamaa zitawaponza na kuambukiza VVU ibaki kusema umeumizwa, usokaa ukatulia ukaendelea na kazi yako inayokupatia Tonge japo kidogo. ... 1
  • @
    @fatmafatom30343 years ago Sasa simba ni simba kwani shida nini sinimwanaume 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥wangine wako kimya sio uyo kunawangine wako kimya🤣🤣🤣🤣🤣
  • @
    @nahimanamayassa83053 years ago Sasa kwanini anakuja kuyasema leo?alikua wapi siku zote hizo😒
  • @
    @simonitaagesti36573 years ago Sasa watu wanamtukana kisa nini kama katembea na mond kwani huyo mond anacha wanawake mbona alipita kwa hawa 1
  • @
    @bidiiyako68033 years ago Hiyo ni kawaida ya Diamond kila mtu analijua hilo.... Yeye ni Sukari ya wanawake.... 😂 😂 😂 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ 1
  • @
    @hassanabubakar30013 years ago Ameifanya la maana sababu anazidi kutujulisha huyu diamond . Km sio kiki ama ni Kiki itamfaa ila hatomweza kumvua diamond nguo. Yeah niaibu mwanamke kujidhalilisha but sometimes lazima itatokea wenye kujua maana ya mapenzi 😍😍😍 Firdaus from 🇬🇧 ...
  • @
    @zulfakibwana61933 years ago Tena basi marafiki wanazungukana kwasababu ya dai.hamisa wema asiteria wolper aunt luludiva hawa nimrafiki
  • @
    @tousihhhh67653 years ago kujizalilisha huko kwanin asinyamaze fyuuuuiuuu 1
  • @
    @hamisijob56473 years ago Angetombwa na muuza kahawa sijui Kama angesema🤔🤔🤔 1
  • @
    @zayanazayana53533 years ago Ndio mwisho wa dunia wanawke wanajidhalilisha wnyewe mambo machafu yamegeuka kuwa sifa 1
  • @
    @princess-uf5ux3 years ago Kajambe mbele huko kwanini useme Leo wanawake WA tz wanajua kujidhalilisha aise
  • @
    @yusrashabani29833 years ago Labda anatafuta arudi tena kutangaza akaona apitie kusema kama dangote alimpitia 😃😃wamuache mtoto wawatu jamani Nasbu apmzike amechoka
  • @
    @aminamodi89273 years ago Kwani nasibu ni nani hadi Watu kupayuka hivi
    Tuma MTU ana UHURU wa kusema CHOCHOTE dunia hii aaivunje sheria tuu
  • @
    @muzneali3873 years ago Na wewe utakuwa mama DA DE DO shauri yako
  • @
    @aishabrondi2363 years ago Kiukweli siwezi nikaona mshangao maana mondi nikicheche yani Hajiheshimu kabisa duuu mwanaume anakokotana nakilambwa yamwanamke mwanaume hajieshimu waaje kumchamba mondi nimalaya balaaa duuuu
  • @
    @fallonneliya61433 years ago Wana wake wa tanzania mnapenda kuchezeya mbo ya daimond kwa nini ? Mtamuwa mtoto wa dangote 1