Duration 5:28

Shija: Hakuna nchi inayoifikia Tanzania kwa vivutio vya Utalii

15 556 watched
0
206
Published 20 Jan 2020

#HazzeSafari #HazzeSandström Mtanzania mwenye asili ya Bara la Ulaya, Hazze Sandström au maarufu kama Shija, amezaliwa Nzega na kukulia hapa nchini Tanzania na kufanya kazi hapa kwa miaka kadhaa kabla ya kuhamia nchi Kadhaa za Ulaya, Afrika na Uarubini na saa anaishi Nchini Sweden anasema katika suala la Utalii hakuna Nchi inayoweza kuifikia Tanzania kwa kuwa na vivutio vizuri.

Category

Show more

Comments - 62