Duration 3:9

MBUNGE AKERWA NA MAHAKIMU WASIO TENDA HAKI.

303 watched
0
8
Published 12 Nov 2021

Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Nicodemus Maganga amesema ataomba mwongozo kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaanika hadharani Mahakimu wasio tenda haki kwenye kesi zinazofikishwa mbele yao.

Category

Show more

Comments - 0