Duration 21:39

Yanga nusura iumbuke mbele ya Mbeya City 1-1

124 688 watched
0
361
Published 11 Feb 2020

Yanga SC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa. Bao la kujifunga la Lamine Moro limeitanguliza Mbeya City kabla ya Bernard Morrison kusawazisha kwa kichwa dakika ya 76, kwa krosi ya Juma Abdul. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 74