Duration 9:27

NYUMBA YA NYERERE YAMSHANGAZA BUTIKU NILIISHI NA MAKONGORO, ILIKUWA NDOGO, ALIUZA MAFUTA YA TAA

64 372 watched
0
300
Published 17 Oct 2020

Category

Show more

Comments - 34
  • @
    @rithakuyala99514 years ago Wazee wetu mnakumbukumbu nzuri sana asante kwa kutupa history upo vizuri mzee butiku. 2
  • @
    @dorcasseruhere68754 years ago Asante mzee butiku kwa kutunza hayo mawazo ni weredi kabisa ulimpenda baba yetina tuweke hizo kumbukumbu vizazi vyetu viweze kuelewa habari za rais wa kwanza wa tanzania. 2
  • @
    @a2gmgimwa34 years ago Kwahiyo kwakua mna maisha manzur hamkupakumbuka.
  • @
    @zainabumwagiroabdallamwagi974 years ago Ninachoamini mwalimu nyerere amefanya mengi mazuri mungu amrehemu lkn hakufanya peke yake kunawatu walimuezesha kufika hapo, kama alizaliwa 1922 na chama . ...Expand 4
  • @
    @prosperkullaya45294 years ago Very deep. Mchonga alikuwa ni gift from god sasa tumepewa anko magu binadamu atuna shukran sana. 1
  • @
    @epifaniamilinga28484 years ago Uwatembelee wazeewalifanya kazi na nyerere, wana hazina za kutosha. 5
  • @
    @issaalfani10304 years ago Hahahahah mzee kanifurahisha hapo kwenye ukatibu. 2
  • @
    @frankkaiza36584 years ago Wambie mzee wame jisahau cna wa kumbushe!
  • @
    @josephinaalexnsungwe13254 years ago Du nyerere kicha kweli naskia ulikua zaid.
  • @
    @stanslauselias90024 years ago Kodi za wanaichi mnazingeuza mtakavyo watu wana shida watu wanamatatizo watu hawana hela za kwenda hospital ila nyumba zinajengwa kwa bilioni mungu anawaona. 2