Duration 5:38

TURUHUSU WANANCHI WANAWIE GONGO BADALA YA SANITIZER- MBUNGE KISHIMBA

51 516 watched
0
268
Published 6 Apr 2020

“Tulikuja hapa na hoja ya spirit ambayo ni gongo, Mkuu wa Mkoa (Mtwara) amechukua gongo ile ameipeleka maabara na imeonekana inafaa kuliko spirit zilizopo. Kwa kuwa wananchi wetu hawawezi kununua hizi sanitizers ambazo zina alcohol asilimia 65 basi Waziri wa Afya aruhusu tunawie gongo ambayo ina alcohol asilimia 55” Jumanne Kishimba #CloudsDigitalUpdates #RipotiYaCAG2020

Category

Show more

Comments - 25
  • @
    @emanuelsamson-hq2jv10 months ago Ukosawa nduguyetuu kishimba kulayangu kwako ipo tayar.
  • @
    @mgonjacharles1953 years ago Wewe mbunge elimu uliyonayo ni zaidi ya professor, unatisha. 2
  • @
    @abuuharuna39494 years ago Gongo mzee inaua kabisa vilus vya corona mimi naamini hivyo. 2
  • @
    @blandinalukole55353 years ago Jaman wasukuma wana iq kubwa mf, huyu mbunge, msukuma, maguful, gwajima, makonda n. K. 5
  • @
    @margarethpolepole74383 years ago Wasukuma na wahaya wanazo dawa sana za kienyeji ukifuatia wamasai. 1
  • @
    @keffajacob89523 years ago Namkumbuka sasa mzee wa toronto. Ni kariba ya huyu kishimba. 1
  • @
    @jenifamtima93253 years ago Rais magufuli uliona mbali kutosafiri nnje ya nchi maana mara corona parah hi hapa kila mtu na kwao. Na ataleta vifaa tiba vya kisasa mwihimbili, mambo ya kwenda india kwisha, 1