Duration 1:23

JPM KATIKATI YA FOLENI BILA VING’ORA.

111 watched
0
3
Published 18 Jun 2020

Tazama jinsi Rais John Magufuli alivyoondoka na gari lake binafsi baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupitia mitaa ya Jiji la Dodoma bila ving’ora wala kusafishiwa njia.

Category

Show more

Comments - 0