Duration 4:32

TUMWIMBIE MUNGU - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO, KIGANGO CHA MKWAJUNI,PAROKIA YA MWAMBANI.

Published 22 Nov 2021

Tumwimbie Mungu ni wimbo unaobeba jina la albamu toleo la kwanza la Kwaya ya Mt. John Bosco. Kwaya hii maarufu kama Kwaya ya Vijana ipo katika Kigango cha Mkwajuni katika Parokia ya Mwambani ndani ya Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya na Makao makuu ya kwaya hii ni katika mji wa Mkwajuni mahala ambapo ni makao makuu ya Wilaya ya Songwe katika Mkoa wa Songwe. Wimbo huu wa Tumwimbie Mungu umeandikwa na ndugu Godwin James kutoka Tukuyu Mbeya. Audio na Video yake imefanywa na Tanganyika Productions kutoka Dodoma Kinanda kimepigwa na ndugu Chrisostom Yohana Luseba (CY Luseba maarufu kama Ndege) Kwa mahitaji ya DVD au flash yenye nyimbo zote 10 zinazounda albamu hii wasiliana nasi kupitia kwa namba za simu kama ifuatvyo; 0742 619 354 - Katibu wa Kwaya 0756 529 232 - Paroko, Parokia ya Mwambani 0786741581 - M/kiti wa Kwaya. Karibuni sana!

Category

Show more

Comments - 75