Duration 3:00

Sahau hadithi za kutisha, tazama mwonekano wa stendi mpya Bariadi

8 664 watched
0
44
Published 18 Aug 2020

#Bariadi #Simiyu #StendiYaMabasi #Usafiri #Abiria Halmashauri mbalimbali Tanzania, Bariadi ikiwemo, zimeendelea kuboresha miundombinu yake ikiwemo vituo vya mabasi yanayotoka ndani na nje ya mkoa. Mpigapicha wetu Iddy Mwema maendeleo ya mradi wa ujenzi wa stendi hiyo ya Bariadi @DailyNewsDigital

Category

Show more

Comments - 5