Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima amewataka madiwani wa jiji la Tanga kutafuta pishi moja ambalo kila mgeni akiingia jiji hapa ajue kweli amefika Tanga.
Malima amesema jiji la Tanga linasifika kwa mapishi mazuri hivyo ni vyema wakatengeneza utaratibu wa kuchagua pishi moja litakalo tangaza mkoa
Category
Show more
Comments - 43
Related videos for “TANGA INASIFIKA KWA MAPISHI, LAKINI JUZI NIMEKULA CHAPATI INAWEZA VUNJA DIRISHA” - RC MALIMA: